experience in journalism, specifically rural and international news analysis, development management, research and advocacy. He is also a political blogger in Tanzania (www.mjengwablog.com) and a columnist in various respectable local newspapers like Mwananchi, Raia Mwema etc. He’s holding a BA degree in Education from Linkoping University of Sweden. Ikolo has also been engaged in New Media since 2006 when it started one of the most popular blogs in Tanzania, mjengwabolog.com.
Je, Una Mwanamke Kijana Jirani Yako Aliyekatishwa Masomo Ya Sekondari Na Anataka Kuendelea Na Kupata Pia Mafunzo Ya Ufundi...? Hii Ni Fursa Kupitia Vyuo Vya Maendeleo Ya Wananchj ( FDCs) facebook.com/1015935028/pos…
Usikione Chaning'inia... Kina mwenyewe. Kikapu cha Jambiani, Zanzibar. Maggid pic.twitter.com/3J5a0xzFm4
"Ukisema Tu Hapana, Haitoshi.. Tuambie tufanye nini. SISI, watu wa kawaida kabisa tunataka ya kawaida kabisa. Hakika ya kipato chetu, hivyo ajira. Tunataka kuendelea na Ujamaa wetu, si jamaa jamaa. Hivyo, jamii bila rushwa na ufisadi. Tunataka Amani na Usalama, Basi." pic.twitter.com/1LCY4XYBpb